Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa mkoa wa Arusha katika viwanja vya Samunge jijini humo.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo hii leo
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa anacheza ngoma iliyokuwa inapigwa na wakina mama waliohudhuria mkutano huo
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais Mhe Samia Suluhu Hassan akisaini vitabu vya wageni kabla ya kuanza mkutano huo viwanja vya Samunge jijini Arusha.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Hauna mpinzani
ReplyDeleteKazana makamu wa rais mwanamke wa kwanza mtarajiwa Oktoba haiko mbali.
ReplyDelete