MKUTANO UTAHUDHURIWA NA MAJAJI NA
MAHAKIMU KUTOKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI.
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA,MHE. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETENDIYE
MGENI RASMI ATAKAYEFUNGUA MKUTANO HUO.
KAULIMBIU YA MKUTANO NI:
KUIMARISHA
IMANI YA UMMA KWA MAHAKAMA
WAKATI WA MKUTANO KUTAKUWA NA
MAONYESHO JUU YA HUDUMA MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA NA MAHAKAMA YA TANZANIA. WOTE
MNAKARIBISHWA
AIDHA MKUTANO HUO UTAFUATIWA NA
MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA TANZANIA(JMAT) UTAKAOFANYIKA
TAREHE 29 AGOSTI HADI TAREHE 30 AGOSTI,2015 KATIKA HOTELI HIYO .
IMETOLEWA NA:
RAIS
CHAMA
CHA MAJAJI NA
MAHAKIMU TANZANIA (JMAT)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...