Mr Jimmy Jiam akiwa na mshindi kwa kuweka stika za kutosha kwenye sehemu yake ya biashara na kupata t-shirt yake mpya ya EFM aliyozawadia na bwana E kufuatia.
Mamalishe akikabidhiwa zawadi na bwana E Mr Jimmy Jiam baada ya kuweka stika kwenye sehemu yake ya kazi eneo la Kimara, jijini Dar Es Salaam.
Bwana
E Mr jimmy Jiam akimpa zawadi na kumshurukuru mfanyabiashara kwa kusikiliza
93.7 EFM na ku weka bango la EFM kwenye eneo lake la biashara.
Bwana E anapokutana na shabiki wa 97.3 EFM dereva wa
bodaboda akiwa amevaa T-shirt ya EFM Muziki Mnene na akiwa ameweka stika ya EFM
kwenye helmet yake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...