93.7. EFM bado inaendelea na matayarisho ya tukio lao la Muziki Mnene Bar Kwa Bar ambalo litaanza kufanyika rasmi kuanziya tarehe 5/09/2015. Muziki Mnene Bango bao inaendelea na ukiwa umeweka bango la EFM kakita sehemu yako ya biashara na bwana E akipita akaona bango hilo huku ukisikiliza matangazo ya EFM utapata kifurushi chenye zawadi na tuvitu vitu kibao.
Mshindi wa Muziki Mnene Bango akikabidhiwa zawadi yake na bwana E mr Jimmy Jiam zikiwemo EFM t-shirt na kifurishi chenye vitu mbalimbali baada ya kuweka stika ya EFM kwenye eneo lake la biashara ndani ya soko la kinondoi, Dar es Salaam.
Mshindi wa Muziki Mnene Bango akikabidhiwa zawadi yake na bwana E mr Jimmy Jiam zikiwemo EFM t-shirt na kifurishi chenye vitu mbalimbali baada ya kuweka stika ya EFM kwenye eneo lake la biashara ndani ya soko la kinondoi, Dares Salaam.
Bango kubwa la 93.7 EFM Muziki Mnene lililowekwa
na mmoja wa mashabiki na mshindi wa EFM Muziki Mnene lilimvutia bwana E wakati
anapita eneo la Kinondoni, jijini Dar-Es-Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...