Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndio mgombea wa ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa kata ya Majengo wakati akiwasili kwenye eneo la mkutano wa kuwashukuru wananchi hao kwa kumpigia kura nyingi kwenye mchakato wa kura za maoni.
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndio mgombea wa
ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akiwasalimia viongozi mbali mbali wa CCM ngazi za kata na matawi waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano uliofanyika Majengo .
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndio mgombea wa ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa kata ya Majengo wakati akiwasili kwenye eneo la mkutano wa kuwashukuru wananchi hao kwa kumpigia kura nyingi kwenye mchakato wa kura za maoni.
 Wananchi wa Jimbo la Mtama wakishangilia kabla ya mkutano kuanza.
 Wananchi wa Kata ya Majengo ,Mtama wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza mbunge wao mtarajiwa Nape Nnauye .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...