Mwanachama mpya wa PPF, akijaza fomu za mpango
wa uchagiaji wa hiari wakati wa utoaji huduma kwa wafanyakazi wa kampuni ya
NOKIA pale Mlimani City jijini Dar es Salaam, Agosti 21, 2015. Kulia ni Afisa
wa Kanda wa PPF, Upendo Singinika Sasi.
Elihuruma (kushoto) na mtaalamu wa mifumo ya comuter wa PPF, (Kulia), wakiangalia jinsi wanachama wa mfuko huo wanavyopata taarifa za michangu yao kupitia simu zao.
Msimamizi wa Kanda wa Mfuko
wa Pensheni wa PPF, Upendo Walter Mazula, (kulia), akimkabidhi zawadi
mwanachama mpya wa PPF, Raymond Ndambo, (katikati), huku Meneja Masoko wa PPF,
Elihuruma Ngowi, wakati wa siku ya wafanyakazi wa kampuni ya NOKIA.
Khalfan Said Photojournalist.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...