- Naye akabidhi nakala ya kitabu chake kipya kiitwacho; ‘KAMWE SI MBALI TENA’
Profesa Said Ahmed Muhammed (aliyevaa miwani) akimpa nasaha mwandishi wa ‘Paka wa Binti Hatibu’ Bwana Yussuf Shoka Hamad.
Profesa Said Ahmed Muhammed akipokea nakala ya ‘Paka wa Binti Hatibu’ kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho Bwana Yussuf Shoka Hamad.
Tutavipata vipi vitabu hicho tuwaunge mkono waandishi kifasihi?
ReplyDeleteSafi sana kuenzi utunzi wa hadithi kwa lugha yetu ya Kiswahili.
ReplyDeleteMdau
Christos Papachristou
Diaspoara