- Naye akabidhi nakala ya kitabu chake kipya kiitwacho; ‘KAMWE SI MBALI TENA’
 Profesa Said Ahmed Muhammed (aliyevaa miwani) akimpa nasaha mwandishi wa ‘Paka wa Binti Hatibu’ Bwana Yussuf Shoka Hamad.
 Profesa Said Ahmed Muhammed akipokea nakala ya ‘Paka wa Binti Hatibu’ kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho Bwana Yussuf Shoka Hamad.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tutavipata vipi vitabu hicho tuwaunge mkono waandishi kifasihi?

    ReplyDelete
  2. Safi sana kuenzi utunzi wa hadithi kwa lugha yetu ya Kiswahili.

    Mdau
    Christos Papachristou
    Diaspoara

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...