Mamia ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka Kata mbalimbali za Tarafa ya Matombo , wilayani Morogoro, wakimlaki mgombea mteule wa chama hicho katika nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena ,( aliyeshika bahasha ) alipowasili Augosti 18,2015 eneo la Mtamba , Kata ya Kisemu, tarafa ya Matombo kwa ajili ya kupata wadhamini kwenye fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Mamia ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka Kata mbalimbali za Tarafa ya Matombo , wilayani Morogoro, wakimlaki mgombea mteule wa chama hicho katika nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena ,( aliyeshika bahasha ) alipowasili Augosti 18,2015 eneo la Mtamba , Kata ya Kisemu, tarafa ya Matombo kwa ajili ya kupata wadhamini kwenye fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Mgombea mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena ( kushoto) ,akimwelekeza mwanachama wa chama hicho, Mariselina Joseph , mkazi wa Kata ya Kisemu, tarafa ya Matombo, wilaya ya Morogoro namna ya kujaza fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya udhanini wake
Katika hatua nyingine, mgombea mteule wa chama hicho nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini, Mbena leo ( Augosti 19) amerudisha fomu hizo katika Ofisi ya Msimamzi wa Jimbo baada ya kukamilisha kwa kupata wadhamini wapatao 31 kutoka Kata za Tarafa ya Matombo, Mvuha na Bwakila. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...