Kituo cha Walimu Mbagala ( Teachers Resource Center ) kimezundiliwa leo na Mgeni rasmi alikuwa Ndg. Phares Magesa , Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ambapo aliwaomba wadau wote wa elimu nchini kusaidia jitihada za Serikali katika kuinua kiwango Cha elimu nchini. Kituo hicho Cha Mbagala kina hudumia kata 12 zenye shule zaidi ya 48 , Mgeni rasmi alishukuru PSPF ambao walikuwepo kwenye tukio hilo kama wadau na waliahidi kusaidia kituo ili kiweze kutoa huduma bora zaidi kwa Walimu na wanafunzi .
Mgeni rasmi akitoa nasaha
Mgeni rasmi akipata maelezo ya kituo hicho
Mgeni rasmi akizindua kituo
Picha ya pamoja Walimu wa kutuo, maafisa elimu wa Wilaya ya Temeke, wadau wa elimu akiwemo mwakilishi wa PSPF na Mgeni rasmi Ndg. Magesa katikati

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...