Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa
Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa
taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi baada ya kuweka saini Hati za
Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi
akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015
Ikulu jijini Dar es salaam
Hati za Ahadi
ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi zikioneshwa huku zikishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015
Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Business Roundtable Ali Mufuruki na Mkuu
wa Brela wakisaini kwa niaba ya sekta binafsi na za umma Hati za Ahadi
ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi
akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015
Ikulu jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...