Afisa Uchaguzi Mwandamizi Deogratus Nsawagwanko akimkabidhi fomu Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha wakulima (AFP), Mhe. Omari Mohamed Sombi leo katika ofisi za Tume ya uchaguzi jijini Dar es Salaam.
Afisa Uchaguzi Mwandamizi, Bi. Rafiki Kiravu akitoa maelekezo kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wakuliama (AFP), Mhe. Omari Mohamed Sombi kabla ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo katika ofisi za Tume ya uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha wakuliama (AFP), Mhe. Omari Mohamed Sombi akionesha fomu ya kuwania nafasi hiyo hapa nchini kwa waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu hiyo katika ofisi za tume ya uchanguzi (NEC) jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii.
Si mchezo
ReplyDeletemchezo huu na kutafuta umaarufu wa kipuuzi nani atakudhamini ww? tuwe makini na watu wanaopoteza muda kama hawa.
ReplyDeletenimeipenda suruali yako
ReplyDeleteHuyu ni mtanzania ana haki ya kudhaminiwa, kuomba uteuzi na kuchaguliwa, mdau unayemsema acha kauli mbaya, jua hamna mwenye hati miliki ya kuwa kiongozi, ukiona unaweza kutimiza vigezo na una chama cha kukuwezesha kwa nini usijitokeze?.
ReplyDelete