Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wakimfariji mjane wa Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Kichangani, Bagamoyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini huku Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akisubiri zamu yake wakati wa mazishi ya Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Yombo Kichangani, Bagamoyo.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...