Afisa Mwandamizi kutoka Sekretarieti ya kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Alex Lupiya akitoa mada kuhusu Dhana ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu wakati wa semina kwa waandishi wa vyombo vya habari nchini iliyofanyika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jijini Dar es Salaam.
Afisa Uchunguzi Mkuu kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Misingi ya Utawala Bora, Joshua Taramo akitoa mada kuhusu Mikakati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu wakati wa semina kwa waandishi wa vyombo vya habari nchini iliyofanyika makao makuu ya Wizaraya Mambo ya Ndani ya Nchi Jijini Dar es Salaam.
Mwandishi wa Habari kutoka kituo cha Televisheni cha Azam, Ismail Hamza,akiuliza maswali wakati wa semina kwa waandishi wa vyombo vya habari nchini iliyofanyika makao makuu yaWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini wakimsikiliza Msaidizi wa mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, John Makuli (hayupo pichani), wakati akiwasilisha mada kwenye semina kwa Waandishi wa vyombo vyahabari nchini iliyofanyika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi ndo kuzeeka au vipi, mbona hawa waandishi wa habari wengine wanaonekana kama viduchu tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...