Scania P420 ya Mwaka 2005 na iko katika hali nzuri kabisa. Bei mil 85 majadiliano yapo, ila dalali hatakiwi kabisa. Gari iko Dar es salaam tayari na imeshalipiwa kila kitu. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0754396519.
Ubavu wa kushoto
Ubavu wa kulia
Mbele kulia
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...