SIMUTV: Mbowe adaiwa kuuza chama bei chee, fahamu mengi kuhusu hili na mengine mengi kupitia dondoo za magazeti hapa Simu.tv . https://youtu.be/4sKlAHoa_QM
SIMUTV: Daktari feki atibu watu 20,abainika kuwa na elimu ya darasa la saba,fuatilia hili na mengine mengi kupitia Uchambuzi wa magazeti ya leo ; https://youtu.be/dnRNQ0D1Iqs
SIMUTV: Jeshi la wananchi Tanzania JWTZ lawaonya wanasiasa nchini. Ni moja kati ya habari zilizopewa kipaumbele magazetini leo; Bofya hapa; https://youtu.be/U2_lcOA7Uc0
SIMUTV: Shaaban Kisiga atamba kuirejesha shooting ligi kuu.Pata habari motomoto za michezo katika magazeti ya leo hapa Simu.tv; https://youtu.be/RAu00vxOU5E
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...