Mkurugenzi wa Masoko  wa Shirika La Bima La Taifa (NIC) Bwana Elisante Maleko ametebelea studio za Efm.
NIC ni wadhamini wa kipindi cha  “Stars Kwanza Tusonge Mbele” kilichobuniwa na  93.7 EFM radio na TFF kuhamasisha wananchi kurejesha upya mapenzi yao kwa timu ya Taifa Stars. Pichani kutoka kushoto ni Masoud Maestro, Elisante Maleko wa NIC , Maulid Kitenge, Musa Kawambwa, Dennis ssebo na  Oscar Oscar wa Team Michezo ya EFM 93.7 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...