Wana 93.7 EFM wakipata ytaswira na mashabiki wa EFM maeneo ya Kibaha kuwashukuru na kuwatunza kuwapa
zawadi kwa kusikiliza vipindi vya kituo hicho cha redio kinachotamba nchini, ikiwa ni maandalizi ya ujio wa libeneke la Muziki mnene bar kwa bar.
Bango
la MUZIKI MNENE lilionekana maeneo ya mjini Kibaha, lilowekwa na mmoja wa mashabiki
wa EFM Radio 93.7.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...