SIMUtv: Lipumba afanya maamuzi magumu , ajivua rasmi uenyekiti CUF na kuituhumu UKAWA. Tazama zaidi uchambuzi wa habari za Magazeti. https://youtu.be/KdEMeaxaBA8
SIMUtv: Maamuzi magumu ya Lowassa yahamia kwa Lipumba. Aukosoa UKAWA na kujiuzuru. Mengi yaandikwa katika Magazeti ya Leo. https://youtu.be/EsToWBi9JVg
SIMUtv:UKAWA hali tete,mwamba mmoja wavunjika,wahaha na vikao kumjadili Lipumba kuachia ngazi. Jionee habari hizo katika Magazeti ya Leo. https://youtu.be/iECu-SGN5Kk
SIMUtv: Klabu ya Mwadui FC imetamba kuingia 4 bora msimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom baada ya kujihakikishia kusajili wachezaji machachari. https://youtu.be/PPEZQbRGA8E
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...