Meneja Kiongozi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akiwaelezea faidaza kujiunga na mfuko huo wakazi wa Mkoa wa Lindi waliofika kwenye banda la NSSF kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa mkoani humo.
Meneja Kiongozi wa Masoko Na Uhusiano Eunice Chiume akiwapa Maelezo ya Faida za kuwa Mwanachama wa NSSF wanachama waliotembelea banda la NSSF mkoani Lindi
Afisa Uendeshaji
Muandamizi Kabona Kandoro akimkabidhi zawadi mmoja wa wanachama waliotembelea
banda la NSSF kwenye maonesho ya nanenane mkoani Lindi.
Mwanachama mpya wa NSSF akipigwa picha kwa ajili ya kadi ya uanachama baada ya kujiunga na mfuko huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...