Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwa kweli huo ni upuuzi mtupu mlikuwa wapi mpaka tembo wakauwawa wakakatwa meno, yakaletwa Dar es salaam na yakapita uwanja wa ndege nakukamatwa na watu wasio hata Askari wa Tanzania kama hata nyie hamjahusika na mtandao wote huo wa uhalifu

    ReplyDelete
  2. The mdudu, wafanyakazi wa uwanja wa Ndege Dar yaani JKNIA wote wafukuzwe kwasababu hakuna alie msafi tushachoka na utoroshaji wa nyara za uma wa watanzania enough is enough na wote watakao bainika na huu ushenzi WANYONGWE AU WAPIGWE BUNDUKI mchana kweupe maana hii ni aibu juu ya aibu hasa sisi tulio huku UGAIBUNI hasahasa mimi hii nchi yangu ya Tanzania itaniuwa kwa presha yaani toa skendo weka skendo maskini we nnavyo jitahidi kupangua kipengele baada ya kipengele kila skendo ikitokea lakini kwahili sasa nanyoosha mikono juu ni meshindwa mimi labda ntaludisha imani yangu kwa nchi yangu pale ntakaposikia ya kwamba wahusika wote WAMENYONGWA AU WAMEPIGWA BUNDUKI mchana kweupe au wamepelekwa kwenye mahakama ya KIJESHI LETU LA JWTZ na kushikishwa adabu maana niwe mkweli kwasasa hapo Tanzania yetu hakuna kitu nnacho kiamini zaidi ya JWTZ ndio linalonifanya nitembee kwa MIKOGO YOTE pasipo na presha.

    ReplyDelete
  3. MWALIMU HAKUKUMBATIA UMSKINI NA WALA HAKUPINGA WATU KUWA MATAJIRI ILA ALIKATAA UTAJIRI USIOJULIKANA ULIKOTOKA. KAMA SERIKALI YETU HAITAULIZA RAIA WAKE WANAPATA WAPI MALI INAYOPITA VIPATO VYAO HALALI: UJANGILI, UFISADI, RUSHWA, MAUAJI YA ALBINO NA UJAMBAZI HAVITAISHSHA KAMWE.

    ReplyDelete
  4. Wafanyakazi wanaopatiwa wajibu wa kulinda mipaka na raslimal zetu wafanye kazi kama hawawezi kazi kuna watanzania wengi sana wanatamani kuipata hiyo kazi, wawapishe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...