Waziri wa Afya na Usitawi wa Jamii,Dk Seif Rashid akizungumza na waandishi wa habari hawaponi pichani juu ya Kuepuka kusalimiana kwa kushikana mikono Kunywa maji yaliyo safi na salama – yaliyochemshwa au kutiwa dawa Hakikisha usafi wa mazingira yako wakati wote ikiwa ni pamoja na chooni Kutokula matunda au kitu chochote bila kukisafisha kwa maji safi na salama Kuhakikisha unatumia choo kwa ufasaha na wakati wote Kuwahi mapema na toa taarifa kituo cha huduma ya afya kilicho karibu na wewe endapo utapatwa na ugonjwa wa kuharisha au kutapika
Katibu Mkuu wa Wizari wa Afya na Usitawi wa Jamii.Dk Donan Mmbando akizungumza na waandishi wa habari hapo pichani juu ya Usafirishaji holela wa wagonjwa wanaohisiwa kuwa na ugonjwa wa kipindupindu. Ni vyema kutoa taarifa iwapo kuna abiria mwenye dalili za ugonjwa huu ili ushauri uweze kutolewa wa namna ya kumsafirisha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...