Ukosefu
na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili
mamilioni ya wanaume duniani. Zipo sababu nyingi zinazo
sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Miongoni mwa
sababu hizo ni pamoja na maradhi kisukari, presha,shinikizo la
damu, moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya ubongo & mishipa
ya uti wa mgongo, matatizo kwenye mishipa itumikayo kusafrisha
damu mwilini, maradhi ya ngiri, pamoja na upigaji punyeto kwa
muda mrefu.Katika makala yetu ya leo, tutaangalia namna suala la upigaji punyeto linavyo athiri nguvu za kiume.
Kabla
hatujaangalia namna suala la upigaji punyeto linavyo maliza nguvu
za kiume, ni vyema tukafahamu kwanza kuhusu SAYANSI YA MFUMO
WA NGUVU ZA KIUME.
Kufahamu kuhusu SAYANSI YA MFUMO WA NGUVU ZA KIUME tafadhali tembelea :
MAWASILIANO : WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, tutembelee kwenye blogu yetu :
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...