Mkurungenzi Mtendaji wa kituo cha msaada wa Sheria kwa Wanawake
(WLAC) Theosia Nshala akuzungumza kwenye mdahalo na wanawake wenye
ulemavu (TAMAWA) juu ya taratibu mbarimbari za Uchanguzi hususani hari za
mwanamke katika Uchanguzi hapa nchini katika mdahalo uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mwanaharakati na Mtaaramu wa Jinsia na Haki za Binadam
Gema Akilimali, akuzungumza kwenye mdahalo na wanawake wenye ulemavu (TAMAWA)
juu Kuwajengea wanawake ufahamu na ujasiri wa kushiriki katika Uchanguzi kama
wagombea,wapiga kura wafutiliaji na waangalizi katika mdahalo uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wanawake wenye ulemavu (TAMAWA) wakiwa katika mkutano leo Jijini Dar
es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...