Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Benjamin William Mkapa wakimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara uliovutia umati uliovunja rekodi kwa wingi katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es alaam Jumapili
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais Kikwete na Rais Shein pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji joseph Sinde Warioba akimnadi mgombea wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiozungumza Jangwani
![]() |
Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa akiunguruma Jangwani |
Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein
![]() |
Makongoro Nyerere akipiga saluti baada ya kusalimia umati huo Kwa Picha zaidi BOFYA HAPA |
CCM hii inaashiria kuungwa mkono na wengi, ni kuwatakia ushindi ili muendelee kutumikia wananchi.
ReplyDelete