Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifunguaMfereji ikiwa ni ishara ya kuzindua Mradi wa maji safi na Salama wa Jimbo la Kikwajuni leo katikaviwanja vya Mnara wa Mbao Kilimani Wilaya ya Magharibi A Unguja (katikati) Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Yusuf Masauni.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimtwisha ndoo ya maji Fathiya Khamis Husein (Suza)baada ya kuzindua Mradi wa maji safi na Salama wa Jimbo la Kikwajuni leo katika viwanja vya Mnara wa Mbao Kilimani Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi wa Kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) huko
Bavuai Migombani Mkoa wa Magharibi Unguja leo alipofika kuzindua Mradi
wa maji safi na Salama wa Jimbo la Kikwajuni
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kuzindua Mradi wa maji safi na Salama wa Jimbo la
Kikwajuni leo katika Kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) huko Bavuai
Migombani Mkoa wa Magharibi Unguja,(kutoka kushoto) Nd,Abdalla Suleiman
Mkuu wa Kituo cha maendeleo ya Vijana (Tanzania Youth ICON) na Mbunge
wa Jimbo la Kikwajuni Hmad Yusuf Masauni.
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya maji ZAWA wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa
maji safi na Salama wa Jimbo la Kikwajuni leo uliofanywa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Mnara wa Mbao
Kilimani Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...