Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015
litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo
jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni
Wellu Sengo (Matilda).
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015
litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo
jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh
Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere wakiwa
katika mkutano huo.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mratibu wa Tamasha la MAMA ONGEA
NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Steve Mengele a.k.a Steve
Nyerere akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya tamasha hilo.
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015
litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu (kulia) akizungumza na
wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao.
Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda) na Yobnesh Yusuph (Batuli).
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015
litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo
jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh
Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere wakiwa
katika mkutano huo.
Baadhi ya wasanii na makada wa CCM ambao watajumuika katika tamasha la
MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM wakiwa katika picha
ya pamoja mara baada ya mkutano na waandishi wa habari.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...