Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Pamela Mgarula akizungumza na waandishi habari hawapo pichani juu ya semina ya kuwezesha kutoa elimu ya kuwakumbusha wafanyakazi kutambua umhimu kujikinga na VVU na Ukimwi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Arnatoglo jijini Dar es Salaam.
Daktari Kafura Williamu wa Kitengo cha Magonjwa yasiyo ya kuambukiza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, akizungumza na waandishi habari juu ya semina ya kuwezesha kutoa elimu ya kuwakumbusha wafanyakazi kutambua umhimu kujikinga na VVU na Ukimwi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Arnatoglo jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Manispaa ya Ilala wakiwa katika semina ya VVU/UKIMWI iliyofanyika leo Ukumbi wa Arnatoglo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...