Daktari Mwandamizi Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Mary Kitambi akitoa mada jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. 
Mmoja wa waandishi wa habari akiuliza swali jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gain Marc Van Amengen (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari(hawapo pichani ) jana jijini Dar es salaam juu ya kuweka madini joto kwenye vyakula. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Michael John.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...