Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa ameongozana na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua ujazo wa maji Ruvu Darajani.
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla pamoja na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua wakiangalia kina cha maji kilipofikia.
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (wa pili kushoto) akiwa ameongozana na Meneja mradi wa Kampuni ya WABAG kutoka India. Pintu Dutta (watatu kulia) Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), Mary Mtukula, Injinia Masudi Omari, Meneja Usimamizi Uendeshaji na Mazingira DAWASA, Modesta Mushi wakikagua maendeleo ya mradi wa kituo cha kusafisha maji cha Ruvu juu.
Kaka amos kwa kwa juhudi na sifa hizi unafaa sana
ReplyDelete