Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi
akisalimiana na Wananchi na wana CCM wa Kijiji cha Mitambuuni alipofika
kuwasailia akiwa katika ziara ya Kisiwa cha Pemba.
Balozi Seif akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa
Kijiji cha Mitambuuni Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, kulia yake ni Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamad Mberwa na kushoto yake ni Mjumbe
wa Kamati ya Siasa ya CCM ya Mkoa huo Omar Khamis Othman.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...