YA KIFO CHA MPENDWA
WETU
FLORA FLOWIN MKANULA
(1993
– 2013)
Tunaona ni vema kumshukuru
MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi
tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia
Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi. Baada ya hapo tunazuru makaburi ya Kinondoni.
Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi. Baada ya hapo tunazuru makaburi ya Kinondoni.
Sote tuzidi kuyaenzi haya:
Pendaneni kindugu Rum 12:10
“APUMZIKE
KWA AMANI”
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...