Ofisa Masoko wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Moshi, Bi. Elihaika Munuo (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya IPhone 6 kwa mshindi wa droo ya pili ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Rajnikant Shah, katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika tawi la benki ya hiyo Manispaa ya Moshi mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni Meneja wa benki hiyo tawi la Moshi Bw. John Ngowi(kushoto) na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo tawi la Moshi Philip Mtei (kulia).
Home
Unlabelled
BENKI YA EXIM YAPATA MSHINDI WA DROO YA PILI AKAUNTI YA MALENGO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...