Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Black Sensation, Lilliane Masuka (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Tamasha la Fahari ya Mwafrika litakalofanyika viwanja vya Club ya Escape One, Oktoba 3, 2015 Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa kampuni hiyo, Gabriel Manyaga na Mkurugenzi wa Ubunifu wa kampuni hiyo, Charlotte Mwaigwisya.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya Black Sensation, Gabriel Manyaga (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Lilliane Masuka.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...