Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa
Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu Zanzibar kupitia CCM Khamis Ali
Ameir alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar kuzungumza na Shirikisho hilo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hotuba
ya ufunguzi mkutano wa shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar
CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...