
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwatambulisha wagombea Udiwani CCM Majimbo ya Uchaguzi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo uwanja wa Mpira Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba

Wananchi na WanaCCM pamoja na Wapenzi wa Chama cha Mapinduzi waliofurika katika Uwanja wa Mpira Micheweni wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akimwaga sera za CCM katika mkutano wa Hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo uwanja wa Mpira Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Wingwi Khamis Shaame Hamadi katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo uwanja wa Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Konde Ramadhan Omar Ahmed katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo uwanja wa Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...