Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibonyeza kitufe kuzindua Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo
Kikundi cha ngoma kutoka Mkoa wa Kusini pemba kikitumbuiza ngoma ya Gonga wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo
Mradi wa Umeme katika kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani. Mkoa wa Kusini Pemba, ulipozinduliwa leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi katika uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...