HABARI ZENYE LINK ZA YOUTUBE!
Star TV: Waumini wa Dini Ya kiislam Waungana na waislam wote nchini kusherehekea ibada ya sikukuu ya Eid El Haj na kuombea Amani Uchaguzi mkuu. https://youtu.be/DNNY-2vzKjY
TBC: Mamlaka ya mawasiliano TCRA imewataka wamiliki wa Radio Na TV kutumia vyombo hivyo kuleta maendeleo ya Taifa na sio kufanya Uchochezi. https://youtu.be/3zkiqOOwXqI
Star TV: Serikali yaitaja Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi kutokana na watendaji wake kushirikiana na matapeli. https://youtu.be/zz_W8emSZhU
TBC: Mgombea Uraisi UKAWA Mhe. Edward Lowassa awaahidi wananchi wa Lindi kupitia upya mikataba ya Gesi endapo atachaguliwa kuwa raisi. https://youtu.be/ufwCxHLO4So
Star TV: Timu Ya Arsenal The Gunners imeshinda rufaa yake dhidi ya kadi nyekundu aliyopewa mlinzi wa kati Gabriel Paulista katika mechi dhidi ya Chelsea. https://youtu.be/mZT-_cA4Rs8
Tbc: Wakazi wa Bongwa Wilayani Bagamoyo wameitaka serikali kushughulikia tatizo la maji katika kijiji hicho baada ya visima kushindwa kukidhi mahitaji; https://youtu.be/10cJ_0jGGg4
STAR TV: Vyama vya siasa nchini vimetakiwa kukabiliana na changamoto zinazowakabili watoto ili kulinda haki zao za msingi; HTTPS://YOUTU.BE/ID1N1N7LJ-S
Ch 10: TANESCO yaonya wananchi wanaofanya uhalifu katika miundombinu ya grid ya umeme wa taifa ambapo hadi sasa vipande 200 vya chuma katika grid ya umeme vimeibiwa; https://youtu.be/9WQTxyy1EWs
AZAM TV: Balaza la habari nchini MCT yawaonya wamiliki wa vyombo vya habari kutoingilia utendaji kazi za waandishi wa habari; https://youtu.be/DkWNWQ9BQKI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...