Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Mhe.Dkt Fenella Mukangara akiwa kwenye mazungumzo na wakazi wa jimbo la kibamba(kwa Yusuph) wakati alipotembelea vikundi vya vicoba ili kuwaskiliza kero zao ili kujua matatizo wanayowakabili kwa ujumla.
Mkazi wa kata ya Msigani(aliyesimama) akielezea matatizo yanayowakabili wakazi wa eneo ilo na kumwomba mgombea wa Jimbo ilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt Fenella Mukangara kuyatafutia ufumbuzi atakapopata nafasi ya kuwatumikia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...