Washiriki wa Jogging iliyoandaliwa na kituo cha mazoezi ya viungo cha Home Gym Mwenge jijini Dar es Salaam kilichopo chini ya Andrew Mangomango (kulia) kwa lengo la kuhamasisha umuhimu wa mazoezi kwa ajili ya afya ya mwili na akili ambapo kituo hicho kimetimiza miaka 17 tangu kuanzishwa, mbio hizo zilianzia Mlimani City na kuishia ufukwe wa Escape One. (Picha na Francis Dande)
Washiriki wakiwa katika Jogging.

Washiriki wakiwa katika Jogging.
Washiriki wakiwa katika Jogging.
Washiriki wakiwa katika Jogging.
Wanachama wa kituo cha mazoezi ya viungo cha Home Gym Mwenge wakikata keki wakati wa kusherehekea mika 17 tangu kunzishwa kwa kituo hicho, hafla hiyo ilifanyika katika Ufukwe wa Escape One jijini Dar es Salaam.
UPUMBAVU MTUPU, HAMUONI WATOTO HAPO?? HII ILITAKIWA ISIWEKWE HEWANI
ReplyDeleteWapeni heshima watoto jamani.
ReplyDeleteWazazi wa kisasa hao. Wanajifikiria wao tu. Hawafikirii watoto. Amini usiamini, kesho watoto hao wataijaribu hiyo move wao kwa wao wakati hata miaka 5 hawajafikisha.
ReplyDeleteTatizo kubwa la hiki kizazi kipya cha bongoland, ni kuiga mambo ya ulaya na marekani na kusahau mila na desturi zetu za Tanzania na za Ki-bantu. PDA (Public Display of Affection) ni kinyume cha mila na desturi za kwetu Tanzania, sasa siku si nyingine watoto wakianza kulana "denda" na watoto wenzao mbele ya hawa wazazi wataweza kuwakemea kweli?
ReplyDeleteDr Gangwe.Bitozi