Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa songwe Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za CCM juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene
Kikundi cha ngoma za asili kutoka kata ya Malangali kikitoa burudani kwa wanaCCM waliofika kusikiliza sera za mgombea wa Chama hicho wilaya ya Ileje Janet Mbene
Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya malangali
Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Malangali Sayinga Kayuni wakati wa mkutano wa hadhara wa kunadi sera za chama cha Mapinduzi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...