Kundi la Wazawa crew la Tandale jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi
Vijana wanaounda Kundi la WDW la jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi
Kundi la Quality Boys la Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi
Vijana wanaounda Kundi la WDW la jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...