Mbali na hilo ,Mwigulu Nchemba ameendelea kusisitiza Uchaguzi wa Amani na Upendo kwa vyama vyote,Amewasihi Wananchi wajitokeze kupiga Kura ilikuwachagua Madiwani,Mbunge na Rais wa Chama cha Mapinduzi wenye Ilani inayotekelezeka.
Picha na Sanga Festo Jr. Picha zaidi BOFYA HAPA
Air MarshallMwegulu na wengine kwenye kamati yetuya ushindi. Tuko pamoja nanyi. Nyinyi mnatuongoza sisi tunamalizia na kufagilia njia!! Waonesheni umahiri wetu physically na pia kisera. Nawahakikishieni hamko wapweke, tupo mahiri nyuma yenu!! Field Marshall Nchemba kazi tumeianza, tuimalizie vizuri kaka. Hebu tuonesheni na umahiri wa kina dada wetu pia!! Kigamboni Mbagala,Kakonko na Ushirombo tupo. Masasi na Msangamkuu pia Rombo na Himo tumejumuika. Monduli na Hai pia Korogwe tunawakilisha. Rungwe na Karagwe pia Uyui tumetulia. Mikindani na Kiwangwa pia Kyerwa tunajali. Magufuli Rais wetu tumeshajipanga kwa maapisho hapo Magogoni. Mwegulu paaa juu,tusomee ramani sisi ardhini tunamalizia. Ha ha haaaa!
ReplyDelete