Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka, akiongea na watumishi kutoka
Ofisi mbalimbali za Serikali wanaofanya kazi Kwenye Kiwanja cha ndege cha
Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA),, mwishoni mwa wiki.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (wa nne kutoka kulia mstari
wa kwanza), akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Mamlaka ya Viwanja vya
Ndege Tanzania(TAA) na watuumishi wa Serikali wanaotoka kwenye ofisi mbalimbali
za Serikali wanaofanya kazi katika Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius
Nyerere (JNIA), mwishoni mwa wiki. Katibu Mkuu alikutana na Watumishi hao ili
kujadili namna bora ya kufanya kazi katika Viwanja vya Ndege.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...