Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye hafla ya kuapishwa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana
Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki akikabidhiwa ua na mtumishi wa Tume Bi. Angela Gombanila mara baada ya kuwasili ofisi za Tume hiyo mara tu baada ya kuapishwa
Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisi za Tume hiyo mara tu baada ya kuapishwa
Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki akiongea na watumishi wa tume baada ya kuapishwa
Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki katika picha ya pamoja na Picha na Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi (wa tatu kulia) pamoja na wakuu wa idara wa ofisi ya tume.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...