Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye
kitabu cha wageni nyumbani kwa Baba wa Taifa Julius Kambarage
Nyerere,kulia ni Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na
kushoto ni Chief wa Wazanaki Japhet Wanzagi.
Mgombea
Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na watoto wa Baba
wa taifa pamoja na Chief Japhet Wanzagi kuelekea kwenye kaburi la Baba
wa Taifa.
Wakiwa na Mashada yao kwa ajili ya kuweka kwenye kaburi la Baba wa Taifa
Mgombea
Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye
kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...