Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa
Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua
kitabu cha taarifa za msingi kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye
majengo ya Mahakama hiyo mjini Arusha leo.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo
kuagana na viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu
mjini Arusha leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi na wafanyakazi wa Mahakama ya aFrika ya Haki za binadamu
mjini Arusha wakati Rais alipotoa hotuba ya kuwaaga.
(Picha na Freddy Maro)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...