Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi
tunzo kwa wataalamu waoshiriki jitihada za kudhibiti Ugonjwa wa Ebola Afrika
Mashariki, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Dnan
Mmbando jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi tunzo wataalamu
walioshiriki jitihada za kudhibiti ugonjwa wa Ebola Afrika Mashariki, Naibu Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt.Stephen Kebwe jijin Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa kwenye
picha ya pamoja na viongozi mabalimbali leo jijini Dar es Salaam .
(Picha na Emmanuel
Massaka)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...