Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Chwaka, Unguja,
wakati alipofika kutembelea kukagua na kukabidhi Mradi wa Maji safi na salama
wa Chwaka, leo Sept 12, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi wa Kijiji cha Chwaka
baada ya kutembelea kukagua na kukabidhi mradi ya Maji safi na salama wa
Chwaka, leo Sept 12, 2015 Unguja. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...