Mshiriki wa mafunzo elekezi juu ya uingizaji wa takwimu za mashauri kwa njia ya kielectroniki (Judicial Stastical Dashboard System JSDS) kwa Makarani wa Mahakama Mkoa wa Dar Es Salaam, Bi. Tumaini Mwalioga akisisitiza neno wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo katika chuo cha LearnIt leo Jijini Dar Es Salaam.
 Mgeni rasmi katika mafunzo maalum ya mfumo wa kuingiza taarifa ya mashauri (Judicial Stastical Dashboard System (JSDS)  Mhe.Solanus Nyimbi (walioketi katikati)  Mhe. Mustapha Sihani, Naibu Msajili Mwandamizi Kanda Kuu Dar es Salaam, Patricia Ngunguru, Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Mafunzo,  Mhe. Said Mkasiwa, Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Ilala, (kushoto) ni kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...